Katika mwaka wa masomo 2025/2026, mkoa wa Lindi ni miongoni mwa miko inayotarajia kuwapokea wanafunzi wapya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo vya kati. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mkoani Lindi, yanaashiria mafanikio ya kimasomo ya wanafunzi hawa baada ya kufaulu mitihani yao ya kidato cha nne. Mzazi au mwanafunzi, unaweza kuangalia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwa kufuata hatua zifuatazo:
Hatua ya 1: Kutembelea Tovuti Rasmi ya TAMISEMI ya Uchaguzi Wa Wanafunzi Wa Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Kati
- Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI kupitia hii linki.
- Bofya linki ya “Form Five First Selection, 2025.”
Hatua ya 2: Chagua Linki ya Mkoa Ulikosoma (Mkoa wa Lindi)
- Katika orodha ya mikoa, chagua mkoa wa Lindi.
Hatua ya 3: Chagua Linki ya Halmashauri Ulikosoma
- Utakutana na orodha ya halmashauri zote za mkoa wa Lindi zikiwemo: Kilwa DC, Lindi MC, Liwale DC, Mtama DC, Nachingwea DC, na Ruangwa DC.
- Chagua halmashauri ambayo mwanafunzi amefanyia mtihani wake wa kidato cha nne.
Hatua ya 4: Chagua Shule Uliyosoma
- Utakutana na orodha ya shule zote katika halmashauri husika.
- Chagua shule ambayo mwanafunzi amefanyia mtihani wake wa kidato cha nne.
Hatua ya 5: Angalia Orodha ya Majina na Pakua Maelekezo ya Kujiunga
- Baada ya kuchagua shule, tafuta orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa na shule walizopangiwa.
- Pakua maelekezo ya kujiunga (Joining instructions pdf) kupitia linki ya jina la shule.
Hatua ya 6: Kuhakikisha Taarifa
- Hakikisha kuangalia majina kwa umakini ili kuthibitisha kama mwanafunzi amechaguliwa na wapi.
Ikiwa kuna matatizo yoyote au maswali zaidi, unashauriwa kuwasiliana na ofisi za elimu za mkoa husika au kutumia namba za msaada zilizotolewa katika tovuti husika.
Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo 2025 Mkoa wa Lindi kupitia Linki za Halmashauri Zote
Hapa chini ni orodha ya halmashauri za mkoa wa Lindi na linki zake za kuangalia uchaguzi wa form five:
Halmashauri | Linki |
Kilwa DC | Angalia Majina |
Lindi MC | Angalia Majina |
Liwale DC | Angalia Majina |
Mtama DC | Angalia Majina |
Nachingwea DC | Angalia Majina |
Ruangwa DC | Angalia Majina |